Dawa ya asili ya kutibu koromeo kuwasha

Dawa ya asili ya kutibu koromeo kuwasha

Baba Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2017
Posts
1,332
Reaction score
2,465
Wakuu habari,
Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza, kuna mtu anatafuta dawa ya asili ya kutibu koromeo kuwasha... Yaan haipiti sekunde anafanya "ahha ahha " nafkiri mnajua huo mlio... Yani kama anasafisha kitu kimemkwama.
 
hali hiyo huwa siipendi balaa,tumia maji ya vuguvugu yenye chumvi kiasi,fanya kama unayameza kisha unatema,kila siku asubuhi kwa muda wa siku 7
 
Back
Top Bottom