Dawa ya Aspirin inapatikana wapi?

Dawa ya Aspirin inapatikana wapi?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Wakuu, jana nimepitapita kwenye maduka hapa Dar nikitafuta dawa ya Aspirin lakini nikaonekana kituko. Najiuliza ni kipi kimepelekea dawa hiyo kutopatikana madukani?
 
Ana jinsia ya +ME, halafu anaonekana kazaliwa kabla ya Tanganyika kubadili jina lake na kuitwa Tanzania.[emoji848]
Basi sina msaada wowote kwake. Apambane tu na hali yake

1568998234613.png
 
Wakuu, jana nimepitapita kwenye maduka hapa Dar nikitafuta dawa ya Aspirin lakini nikaonekana kituko. Najiuliza ni kipi kimepelekea dawa hiyo kutopatikana madukani?
juniour aspirin kanunue zipo madukani kibao usiseme aspirin
 
Back
Top Bottom