Dawa ya Ceftriaxone kwa mjamzito

Dawa ya Ceftriaxone kwa mjamzito

Kama zipi? Na hii ni daraja la juu kivipi ?ila kwenye suala la gharama nakubaliana na wewe lakini si dawa hatarishi wala si dawa ya juu kivile,in brief it is broad pharmacological.May be walifanya culture & sensitivity,all in all is safe to be used in pregnant mother.
Uti ipo >100 per cell... amoxicillin nimetumia na cephalexin nimetumia haiishi
 
Wabongo hawako vzr sana kwenye management ya hizi antibiotics hasa RAIA wa kawaida. Mtu akipata gonjwa la zinaa wala haendi hosp yeye anajidunga antbiotics aliyoambiwa na shosti wake. Madaktari baadhi nao sijui uelewa mdogo? Wanatibu bila vipimo yaani test ya malaria neg uti neg wanakupa cipro. Sijui ya nini? Huyo kakimbilia kweny 3 generation bila sababu za msingi. Wizara iangalie vzr auto medication na hawa jamaaa wanao andika antibiotics bila ya bases zozote. Wengine wanafanya combination ya antibiotics mpaka unashangaa. Uuuwiii
 
So jibu zuri na halina msaada. Kama amemuongopea?
Kama huwezi kumsaidia kaa kimya.
Unajua nikwann nine sema ivyooo kwamfano tungrmwambia dawa aliyo kapewa siyo sahiii unadhan ange mwamin doctor wakeeeeee
 
Uti ipo >100 per cell... amoxicillin nimetumia na cephalexin nimetumia haiishi
Haiwezi kwisha kwa dawa tu kama huwezi kujikinga(esp wanawake due to their anatomy in relation na namna ya kijisafisha baada ya kutoa haja kubwa,,aina ya choo na usafi wake)
 
Mpaka mbongo aende hospital ujue ameshajidunga mi antibiotic ya kutosha ...ningekubaliana na wewe kwamba kabla ya kuitibu hiyo UTI basi kufanyike C/S.

Na kuhusu wazungu kuzilinda antibiotics zao hapo sikubaliani na wewe kwani wao ndio wa kwanza kukimbilia madawa makali na kimsingi washaacha antibiotics nyingi za 1St generations na wanatumia advanced antimicrobial just to deal with minor infections.
Sehemu za kufanya c/s hapa tz ni chache sana kwa hapa home tunafanya c/s pale first line na second line zinaposhindwa kumtibu mgonjwa
 
Sehemu za kufanya c/s hapa tz ni chache sana kwa hapa home tunafanya c/s pale first line na second line zinaposhindwa kumtibu mgonjwa
Lakini sivyo ilivyofundishwa...na sio standard.
...
 
Lakini sivyo ilivyofundishwa...na sio standard.
...
Nimekuambia kwa mazingira yetu hapa tz lakini kwa nchi zenye uwezo c/s ni njia sahihi ya kutafuta sawa sahihi ya kutibu wadudu alipokuwa nao mgonjwa.

Sisi hapa tz mpaka uanze kufanya hiyo c/s na wewe iko Katavi huko usubiri hayo majibu yamepelekwa labda rufaa Mbeya mpaka yarudi na mgonjwa ameshazikwa.

Ndiyo Madaktari kuanza na tiba line ya kwanza ikishindikana kuingia line ya pili ikishindikana hufikiria sasa mambo ya c/s kama hiyo service inapatikana.

Siyo kwamba ndiyo inavyofundishwa lakini mazingira ya maisha ndiyo utavyoikuta.

Na usifikiri ulichokisoma darasani basi ndiyo liko hivyo hivyo kwenye field of practice huku inategemea na setup na so many other factors
 
Hiyo ni mtazamo wako tu..
wataalamu wanaofanya C/S wameajiriwa kwa wingi na serikali na badala ya kufanya kazi za mantiki kama C/S wao wanaishia kufanya bedside test ndani ya maabara.
hakuna ugumu wowote wa kufanya Tests kama C/S ni kujiendekeza tu.

Tumefundisha hao wataalamu kwa gharama kubwa lakini inapokuja kwenye kazi tunawaunder utilize
 
Kufundisha ni jambo moja, kuwaajiri ni jambo lingine na kuwa na vitendea kazi na jambo kingine kabisa.

Kuwa na zile maabara 7 bora kabisa phase ya kwanza na vifaa vya kisasa zilizojengwa kwa ufadhili wa Abbott bila kuwa na reagents ndani ni kuchezea taaluma za watu tu
 
Uti ipo >100 per cell... amoxicillin nimetumia na cephalexin nimetumia haiishi
Dawa iko Sawa Matwin,usijawe hofu Mungu atakusaidia utapona tu.Pia kwa mja mzito kupata hilo tatizo ni haraka.
 
Back
Top Bottom