Uti ipo >100 per cell... amoxicillin nimetumia na cephalexin nimetumia haiishiKama zipi? Na hii ni daraja la juu kivipi ?ila kwenye suala la gharama nakubaliana na wewe lakini si dawa hatarishi wala si dawa ya juu kivile,in brief it is broad pharmacological.May be walifanya culture & sensitivity,all in all is safe to be used in pregnant mother.
So jibu zuri na halina msaada. Kama amemuongopea?Unge muuliza aliye kupatia dawa kule kuleeee
Unajua nikwann nine sema ivyooo kwamfano tungrmwambia dawa aliyo kapewa siyo sahiii unadhan ange mwamin doctor wakeeeeeeSo jibu zuri na halina msaada. Kama amemuongopea?
Kama huwezi kumsaidia kaa kimya.
Haiwezi kwisha kwa dawa tu kama huwezi kujikinga(esp wanawake due to their anatomy in relation na namna ya kijisafisha baada ya kutoa haja kubwa,,aina ya choo na usafi wake)Uti ipo >100 per cell... amoxicillin nimetumia na cephalexin nimetumia haiishi
Sehemu za kufanya c/s hapa tz ni chache sana kwa hapa home tunafanya c/s pale first line na second line zinaposhindwa kumtibu mgonjwaMpaka mbongo aende hospital ujue ameshajidunga mi antibiotic ya kutosha ...ningekubaliana na wewe kwamba kabla ya kuitibu hiyo UTI basi kufanyike C/S.
Na kuhusu wazungu kuzilinda antibiotics zao hapo sikubaliani na wewe kwani wao ndio wa kwanza kukimbilia madawa makali na kimsingi washaacha antibiotics nyingi za 1St generations na wanatumia advanced antimicrobial just to deal with minor infections.
Lakini sivyo ilivyofundishwa...na sio standard.Sehemu za kufanya c/s hapa tz ni chache sana kwa hapa home tunafanya c/s pale first line na second line zinaposhindwa kumtibu mgonjwa
Nimekuambia kwa mazingira yetu hapa tz lakini kwa nchi zenye uwezo c/s ni njia sahihi ya kutafuta sawa sahihi ya kutibu wadudu alipokuwa nao mgonjwa.Lakini sivyo ilivyofundishwa...na sio standard.
...
Hiyo ni mtazamo wako tu..Nimekuambia kwa mazingira yetu hapa tz lakini kwa nchi zenye uwezo c/s ni njia sahihi ya kutafuta sawa sahihi ya kutibu wadudu alipokuwa nao mgonjwa.
Sisi hapa tz mpaka uanze kufanya hiyo c/s na wewe iko Katavi huko usubiri hayo majibu yamepelekwa labda rufaa Mbeya mpaka yarudi na mgonjwa ameshazikwa.
Ndiyo Madaktari kuanza na tiba line ya kwanza ikishindikana kuingia line ya pili ikishindikana hufikiria sasa mambo ya c/s kama hiyo service inapatikana.
Siyo kwamba ndiyo inavyofundishwa lakini mazingira ya maisha ndiyo utavyoikuta.
Na usifikiri ulichokisoma darasani basi ndiyo liko hivyo hivyo kwenye field of practice huku inategemea na setup na so many other factors
Kufundisha ni jambo moja, kuwaajiri ni jambo lingine na kuwa na vitendea kazi na jambo kingine kabisa.Hiyo ni mtazamo wako tu..
wataalamu wanaofanya C/S wameajiriwa kwa wingi na serikali na badala ya kufanya kazi za mantiki kama C/S wao wanaishia kufanya bedside test ndani ya maabara.
hakuna ugumu wowote wa kufanya Tests kama C/S ni kujiendekeza tu.
Tumefundisha hao wataalamu kwa gharama kubwa lakini inapokuja kwenye kazi tunawaunder utilize
Dawa iko Sawa Matwin,usijawe hofu Mungu atakusaidia utapona tu.Pia kwa mja mzito kupata hilo tatizo ni haraka.Uti ipo >100 per cell... amoxicillin nimetumia na cephalexin nimetumia haiishi
Asante saana GOD BLESS YOU........Dawa iko Sawa Matwin,usijawe hofu Mungu atakusaidia utapona tu.Pia kwa mja mzito kupata hilo tatizo ni haraka.