Dawa ya child support na madawati ya jinsia yapatikana

Dawa ya child support na madawati ya jinsia yapatikana

Miguel Felix Gallardo

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2024
Posts
2,841
Reaction score
5,218
Igweeeee....

#No sperm, no child support!!!

Masingo maza muanze kufanya kazi,dezodezo inakaribia mwisho.

Ni mwendo wa kimasihara mpaka mkome.Huku chanjo ya HIV huku Njia ya uzazi wa mpango.Ni humu tuuuuu🔥🔥🔥🔥

Saa ya ukombozi yaja ambapo mwanaume atakuwa anauza sperms hakuna cha bure!!!

📌KATAA NDOA,LINDA KIBUNDA!!!
Screenshot_20250726-083740_1.jpg
 
Child support ingekuwepo bongo serious watu wangejifunza kupiga punyeto
Child support ipo mzee kuna wanawake saivi wanakazi ya kuzaa na wanaume wenye uwezo kila mtoto na babake mwisho wa mwezi anakunja vibunda kutoka kwa kila baba bado madanga.Hawa wanawake ni mufilisi.

Bora tule bia tu🍻

Kama unmshikaji msoja muulize wanawake zao wanavyowapeleka puta,na ukizingua mwanamke nafata mshahara kambini.Washkaji ndio maana wanaendeshwa sana na MAPENZI!!!
 
Sijakataa ipo ila bado serikali haijatilia mkazo kwa wivu mkubwa bwashee 🤣
 
Back
Top Bottom