Dawa ya Ekelfin

Dawa ya Ekelfin

1800

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
2,215
Reaction score
604
Wadau nakuja jukwaani hapa kuomba msaada mmoja tu,napenda kujua je ni muda gani unaruhusiwa kupata alcohol baada ya kunywa dawa ya malaria aina ya ekelfin,kuna mdau ameniambia kua ni 200 hours,nimeshindwa kuamini sana ilo,maana sijawahi pata sikia kua kuna dawa ya malaria inayokaa mwilini kwa 20
hours
 
Mkuu 1800,ekelfin inakaa mwilini hadi muda wa saa 168 (siku 7),hivyo,ni vema walau usubiri siku 7,ndipo uendelee na hayo ma alcohol.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu 1800,ekelfin inakaa mwilini hadi muda wa saa 168 (siku 7),hivyo,ni vema walau usubiri siku 7,ndipo uendelee na hayo ma alcohol.

Asante kwa angalizo mkuu,nadhani kua katika safe side,ngoja niachane na ma alchol mpaka 7 days zipite!maana alcohol ipo tu,afya ndio muhimu
 
Last edited by a moderator:
ni ruksa kunywa baada ya 5 hrs bt inategemea utkunwa ngapi coz unaweza ukalewa zaidi ina exercibate kulewa bt haiuwi nguvu ya dawa
 
Asante kwa angalizo mkuu,nadhani kua katika safe side,ngoja niachane na ma alchol mpaka 7 days zipite!maana alcohol ipo tu,afya ndio muhimu

Achana kabisa na pombe
 
Mie nimeachana nayo, natumia MUSHANA kwa sasa, dawa ya kienyeji ya wahaya.
 
Waache waendelee kuongoza tuu nchi maana mh...
Watu badala ya kuomba ushauri wa kujenga nchi kuondokana na umaskini yee anawaza kwa nn kaumwa kamiss tila lila...duu haya mshaurini mwenzenu huyooo!!!
 
Back
Top Bottom