Mkuu 1800,ekelfin inakaa mwilini hadi muda wa saa 168 (siku 7),hivyo,ni vema walau usubiri siku 7,ndipo uendelee na hayo ma alcohol.
Asante kwa angalizo mkuu,nadhani kua katika safe side,ngoja niachane na ma alchol mpaka 7 days zipite!maana alcohol ipo tu,afya ndio muhimu