Katika swala la elimu, Ni ngumu sana kwa mwanafunzi kufundishwa masomo yote kwa kiswahili kwa miaka saba ya primary alafu kuanza kujifunza kiingereza anapo anza secondari . Sababu kubwa mojawapo amabayo ina wafanya wanafunzi wa feli sana ni lugha maana hawa elewi wanacho fundishwa. Wanaoweza kufanikiwa kufaulu katika system hii ni mostly the exceptionally bright students au walio fanya tuition nyingi na kwenda shule za english medium.So tuna poteza average students wengi sana ambao wange weza kufaulu. Nafikiri tunafaa kuamua kufundisha masomo yote kwa kiingereza kuanzia darasa la kwanza, naamini kwamba kiswahili hakiwezi kufa tukifanya hivi