Dawa ya Elimu Tanzania

Dawa ya Elimu Tanzania

sambara

Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
17
Reaction score
3
Ni kurejea katika mahitaji ya taifa na kutengeneza mfumo unaojibu mahitaji hayo
 
Ni kweli ila kila anaye pata nafasi kulitumikia Taifa anaiwaza nafsi yake sio Taifa lake.
 
Katika swala la elimu, Ni ngumu sana kwa mwanafunzi kufundishwa masomo yote kwa kiswahili kwa miaka saba ya primary alafu kuanza kujifunza kiingereza anapo anza secondari . Sababu kubwa mojawapo amabayo ina wafanya wanafunzi wa feli sana ni lugha maana hawa elewi wanacho fundishwa. Wanaoweza kufanikiwa kufaulu katika system hii ni mostly the exceptionally bright students au walio fanya tuition nyingi na kwenda shule za english medium.So tuna poteza average students wengi sana ambao wange weza kufaulu. Nafikiri tunafaa kuamua kufundisha masomo yote kwa kiingereza kuanzia darasa la kwanza, naamini kwamba kiswahili hakiwezi kufa tukifanya hivi
 
Back
Top Bottom