WanaJF ambao mmeshawahi kutumia vidonge hivyo, naomba kujua kutoka kwenu kwa maslahi ya wengi kama ni kweli unaweza kuchelewa kwa kutumia hizo.
Pili, haina madhara kwa afya?
Nilisikia tu kutoka kwa vijana waliokuwa wanaizungumzia kijiweni. Pia nimeileta hapa baada ya kuona post nyingi zinazohusiana na matatizo ya nguvu za kiume hivyo kama kuna wazoefu wanaweza kushauri iwe sehemu ya suluhisho kama kweli zina uwezo huo.
Ni wazi kua ulikua mpiga punyeto mzuri sana katika hatua ya makuzi yako!!
Kukojoa upesi ndio moja ya madhara ya upigaji wa punyeto kwa muda mrefu......
Jitahid sana kufanya romance kwa muda mreeefu unapokua faragha na mwenzio sio vibusu viwili vitatu tu unamrukia mwana wa watu wakati wajijua ukizungusha pedel mbili tu ushakojoa.
Fanya romance ya kutosha kabisa jaribu kuwa mdadisi wa maeneo muhimu yatakayomfanya huyu mwana mwali asisimke sana kabla hujapandia baiskeli....
Pia lazima ujue si kila demu anaridhishwa kwa kupanda muda mrefu au kumsugua sana.....
Sex is an art!! Lazima uwe strategic unapokua unapiga mzigo, unaweza ukatumia muda mfupi tu na ukawa umemkojoza mwana wa watu hata goli tatu ndani ya dk 5 tu.
Kusugua muda mrefu kwa baadhi mademu huwasababishia michubuko na mwishoe hatasikia raha ya sex na hata mkimaliza hapo huenda asikukumbuke kwa uhodari wako wa kukaa sana juu bali kwa michubuko kadhaa uliyompa!!
Achana na masuala ya hizo dawa we fanya mazoezi, kula vizuri ikiwa ni pamoja na karanga, pweza nk then pata nafasi ya kupumzika vzr!!
Kumbuka ni upigaji wa muda mrefu wa punyeto ndio uliokufikisha hapo mpk unaanza kutafuta vitu vya kuboost.....
Sasa hizo dawa uzitakazo ujue kabisa ni boom lingine unalitengeneza la kukudhuru baadae!!
Sasa we zitumie ila usije kuoa hapo baadae maana lazima tu watu wakuchapie mkeo kwa kua we nguvu utakua huna kabisaa na ukibahatika kuwa nazo lazima zitakuwa za kupepea sana.
Kameze ERECTOR mkuu mie nitakuja kukusaidia mkeo hapo baadae.....