Dawa ya erecto - 20mill, 50mill na 100mill, je zinachelewesha kufika haraka?

Dawa ya erecto - 20mill, 50mill na 100mill, je zinachelewesha kufika haraka?

Kha.leo nimeenda phamarcy kununua dawa ya vitamin C muhudumu kanipa hyo kwenye kifungashio kurudi hom nakuta kitu Erecto-50
Ikanibidi ni google sindo uzi ukafunguka wa jf..
Sasahv narudi phamarcy aniambie dhumuni lake haswa nilipi..

🙂🙂🙂 kwa sauti kubwaaaaaaa
 
WanaJF ambao mmeshawahi kutumia vidonge hivyo, naomba kujua kutoka kwenu kwa maslahi ya wengi kama ni kweli unaweza kuchelewa kwa kutumia hizo.

Pili, haina madhara kwa afya?

Nilisikia tu kutoka kwa vijana waliokuwa wanaizungumzia kijiweni. Pia nimeileta hapa baada ya kuona post nyingi zinazohusiana na matatizo ya nguvu za kiume hivyo kama kuna wazoefu wanaweza kushauri iwe sehemu ya suluhisho kama kweli zina uwezo huo.
Fanya mazoezi ndugu, kula vizuri!
Nikivaa condom tu inanipa airtime mpaka sometime naacha tu kuendelea nitaua wadada wa watu.
 
Nauza kasongo mundende, vumbi kutoka kongo dawa ya asili mitishamba inasaidia kuongeza nguvu za kiume na kurudisha heshima ya ndoa karibuni wote.
Warning use at ur own risk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WanaJF ambao mmeshawahi kutumia vidonge hivyo, naomba kujua kutoka kwenu kwa maslahi ya wengi kama ni kweli unaweza kuchelewa kwa kutumia hizo.

Pili, haina madhara kwa afya?

Nilisikia tu kutoka kwa vijana waliokuwa wanaizungumzia kijiweni. Pia nimeileta hapa baada ya kuona post nyingi zinazohusiana na matatizo ya nguvu za kiume hivyo kama kuna wazoefu wanaweza kushauri iwe sehemu ya suluhisho kama kweli zina uwezo huo.
Haina madhara mi ninazo dukan kwangu na ninaziuza kwa sasa ni 4500 kwa kidonge cha mg yoyote.
Mwanzoni Kama mwezi wa 8 nilikuwa nauza kwa 3500 vimepanda maana pharmacy anayoniletea kapandisha toka 2200 mpaka 3100
JPEG_20231002_145044_5649136518693691039.jpg
 
Back
Top Bottom