Dawa ya HIV

Dawa ya HIV

Mechanics

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
295
Reaction score
26
Habar wakuu hiv kuna mpango wowote unaendelea kuvumbua hyo dawa maana naona kimya
 
Umeukwaa tayari eeeh...! Dawa huenda ikapatikana miaka 20 ijayo.
 
Dawa pekee iliyopo kwa sasa, ni kwenda kupima na Kufuata ushauri wa Wataaramu ipaswavyo !!
 
dawa zipo ambazo sinafanyiwa utafiti na kuonyesha mafanikio makubwa...tafuta humu humu jamvini kuna uzi uliletwa uhusuyo iyo issue..km sikosei aliurusha mzee mzima MziziMkavu.
 
Wataalamu wameona reseach hazilipi wamejiunga kwenye siasa...Pole sana kiongozi
 
HIV ni ugonjwa lakini pia ni biashara ya mamilioni kwa hizi nchi zinazotengeneza haya madawa. So kwa kuitoa dawa hata kama imepatikana nahic itachukua muda mrefuu saana..
I believe dawa yake ipo as ina aminika kuwa HIV imetengenezwa
 
Habar wakuu hiv kuna mpango wowote unaendelea kuvumbua hyo dawa maana naona kimya
Mkuu tafuta nyuki atleast watatu, then jing'atishe mwilini mwako mara moja kwa wiki kwa wiki 3 mfululizo, kwisha kaz. Hili jambo ni kufanya jitihada binafsi tu, ukisubiri kwamba kuna siku dawa itatangazwa, utasubiri sana.
 
Unataka ageuke kuwa mzinga wa nyuki eeh
 
Ni kuosha dudu kwa maji ya uvuguvudu ndani ya dk 3 baada ya tendo, ngoma utaisikia tu kwa watu!
 
Hadi sasa hakuna dawa iliyothibitika kutibu kwa maana ya kuviua virusi vya ukimwi, zaidi ya hizi ambazo hutumika kuvifubaza, maendeleo ya utafiti yamepiga hatua ingawa sio ya kuridridhisha kwa upande hasa wa kinga, ikipatikana kinga itakuwa ni rahisi KIDOGO kupata dawa.
Kwa hapa Tanzania utafiti uliokuwa unaonyesha mafanikio kwa kiwango kikubwa ni ule uliokuwa unaendeshwa ukiongozwa na Prof E. Lyamuya na Prof. Bakari wa Chuo cha afya na sayansi ya tiba, MUHAS
 
Kuna matumaini ya kupatikana kwa dawa.
Kwa sasa inafanyiwa clonical trial kwa binadamu.
Mtafute Dr. Ole Sagaard wa Aarhus University anayo story ya wapi wamefikia.
 
Kuna matumaini ya kupatikana kwa dawa.
kwa sasa inafanyiwa CLINICAL trial kwa binadamu.
Mtafute Dr Ole Sagaard wa Aarthus University anayo story ya wapi walipofikia.
 
Mimi ninayo hiyo dawa, ni PM tuongee. Usitegemee kutokea mtu yeyote wa kuithibitisha hiyo dawa kwa sasa mpaka hapo malengo ya kutengenezwa kwa HIV yatimie ambapo si leo. Ila watu wanapona.

Back
Top Bottom