Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh napita tu mkuu
Habar wakuu hiv kuna mpango wowote unaendelea kuvumbua hyo dawa maana naona kimya
duh napita tu mkuu
Habar wakuu hiv kuna mpango wowote unaendelea kuvumbua hyo dawa maana naona kimya
Mkuu tafuta nyuki atleast watatu, then jing'atishe mwilini mwako mara moja kwa wiki kwa wiki 3 mfululizo, kwisha kaz. Hili jambo ni kufanya jitihada binafsi tu, ukisubiri kwamba kuna siku dawa itatangazwa, utasubiri sana.Habar wakuu hiv kuna mpango wowote unaendelea kuvumbua hyo dawa maana naona kimya
Habar wakuu hiv kuna mpango wowote unaendelea kuvumbua hyo dawa maana naona kimya
Mkuu tafuta nyuki atleast watatu, then jing'atishe mwilini mwako mara moja kwa wiki kwa wiki 3 mfululizo, kwisha kaz. Hili jambo ni kufanya jitihada binafsi tu, ukisubiri kwamba kuna siku dawa itatangazwa, utasubiri sana.
Hadi sasa hakuna dawa iliyothibitika kutibu kwa maana ya kuviua virusi vya ukimwi, zaidi ya hizi ambazo hutumika kuvifubaza, maendeleo ya utafiti yamepiga hatua ingawa sio ya kuridridhisha kwa upande hasa wa kinga, ikipatikana kinga itakuwa ni rahisi KIDOGO kupata dawa.
Kwa hapa Tanzania utafiti uliokuwa unaonyesha mafanikio kwa kiwango kikubwa ni ule uliokuwa unaendeshwa ukiongozwa na Prof E. Lyamuya na Prof. Bakari wa Chuo cha afya na sayansi ya tiba, MUHAS