Dawa ya huyu mdudu

Dawa ya huyu mdudu

Chief

Platinum Member
Joined
Jun 5, 2006
Posts
3,588
Reaction score
3,194
Huyu mdudu anakula mbao sana,kitanda, coffee table nk. Unasikia sauti inatoka ng'we, ng'we kwenye mbao ndio anakula hivyo. Dawa gani inafaa kutumia ?
20230519_093024.jpg
20230519_093035.jpg
 
Oil chafu changanya na dizeli unaweka huko ndani walikojificha
Unawekaje maana wanakuwa ndani kwa ndani mpaka utoboe/uchane mbao kama nikivyofanya ndio utagundua wamekula sana.
 
Back
Top Bottom