Hii ni coffe table niliyonunua ndio imeliwa hivyo.Wakati mwingine tumia treated timber
Unawekaje maana wanakuwa ndani kwa ndani mpaka utoboe/uchane mbao kama nikivyofanya ndio utagundua wamekula sana.Oil chafu changanya na dizeli unaweka huko ndani walikojificha
Kumbe wewe ni chingaoneUnawekaje maana wanakuwa ndani kwa ndani mpaka utoboe/uchane mbao kama nikivyofanya ndio utagundua wamekula sana.
Huwa kuna tundu hivyo unanyunyiza humo hata na bomba la sindanoUnawekaje maana wanakuwa ndani kwa ndani mpaka utoboe/uchane mbao kama nikivyofanya ndio utagundua wamekula sana.
Pole sanaHii ni coffe table niliyonunua ndio imeliwa hivyo.