Luka Tunyon
New Member
- Jan 31, 2013
- 3
- 0
Acha kuzunguka sema unaugonjwa wa kaswende!!!! Hahahaha hivi bado kuna watu bado wanaugua magonjwa kama hayo ni dhahiri kondom hautumii wewe sasa hayo ndo madhara yake, nenda hospitali mkuu
Ameshaenda na kupima kipimo cha VDRL lakini hakuambia ugonjwa, aliambiwa damu chafu na kupewa PENADU ya kuchoma kila wiki kwa wiki tatu na kufanya hivyo lakini pia huyo ndugu anatokwa jasho kwa wingi kwenye nyayo za migu na viganja vya mikono, baada ya kutumia ile penadu, ila jasho ikakata kwa muda kidogo lakini baada ya mda ile hali ikamrudia
Nitafute mimi nipate kukutibia maradhi yako ya kaswende upate kupona.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi MkavuKuna mtu ana ugonjwa wa kaswende, anaomba ushauri atumie dawa gani?
mgonjwa akitibiwa, na mwenza wake anatakiwa kutibiwa pia.Kuna mtu ana ugonjwa wa kaswende, anaomba ushauri atumie dawa gani?
HapanaKachome sindano za ppf au kanyse dawa zinaitwa Erythromycin vidonge 4 kutwa mara 3 kwamuda wa siku 15.