Dawa ya kaswende ni ipi?

Dawa ya kaswende ni ipi?

aende hospitali akapime kwanza ili waconfirm kama ni kaswende kweli then kama ndo yenyewe akipewa single dose ya benzathine penicillin injection inatosha sana kuimprove kama hiyo kaswende itakua ya mwanzo(primary).
 
Ameshaenda na kupima kipimo cha VDRL lakini hakuambia ugonjwa, aliambiwa damu chafu na kupewa PENADU ya kuchoma kila wiki kwa wiki tatu na kufanya hivyo lakini pia huyo ndugu anatokwa jasho kwa wingi kwenye nyayo za migu na viganja vya mikono, baada ya kutumia ile penadu, ila jasho ikakata kwa muda kidogo lakini baada ya mda ile hali ikamrudia
 
Acha kuzunguka sema unaugonjwa wa kaswende!!!! Hahahaha hivi bado kuna watu bado wanaugua magonjwa kama hayo ni dhahiri kondom hautumii wewe sasa hayo ndo madhara yake, nenda hospitali mkuu
 
Acha kuzunguka sema unaugonjwa wa kaswende!!!! Hahahaha hivi bado kuna watu bado wanaugua magonjwa kama hayo ni dhahiri kondom hautumii wewe sasa hayo ndo madhara yake, nenda hospitali mkuu

Pia nilitaka kusema aache kuzunguka,aseme tu kwamba yeye mwenyewe anaumwa hilo gonjwa baada yakufanya zinaaa bila kinga
 
Ameshaenda na kupima kipimo cha VDRL lakini hakuambia ugonjwa, aliambiwa damu chafu na kupewa PENADU ya kuchoma kila wiki kwa wiki tatu na kufanya hivyo lakini pia huyo ndugu anatokwa jasho kwa wingi kwenye nyayo za migu na viganja vya mikono, baada ya kutumia ile penadu, ila jasho ikakata kwa muda kidogo lakini baada ya mda ile hali ikamrudia

hiyo sindano uliyochoma inatibu hadi kaswende, cha muhimu hapo umpeleke hospitali mkeo ili nae apate vipimo pamoja na dawa vinginevyo hilo tatizo litaendelea kukurudia
 
Mbona mnanisakama kama kuna mwenye uhakika kuwa ni mimi mwenye hlo gonjwa? toeni ushauri ila acheni kuhisi, yawezekana ni mimi lakini sivyo mnavyofikiria
 
Kuna mtu ana ugonjwa wa kaswende, anaomba ushauri atumie dawa gani?
Nitafute mimi nipate kukutibia maradhi yako ya kaswende upate kupona.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Kachome sindano za ppf au kanyse dawa zinaitwa Erythromycin vidonge 4 kutwa mara 3 kwamuda wa siku 15.
 
Kuna mtu ana ugonjwa wa kaswende, anaomba ushauri atumie dawa gani?
mgonjwa akitibiwa, na mwenza wake anatakiwa kutibiwa pia.
Sasa kama hakufanya hivyo ni kazi bure yani itakuwa inajurudia rudia hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom