Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah pole sana. Hata improvement ndogo hakuna? Mlishafanya kipimo cha cancer? Mungu afungue Njia ya uponyaji.Bado mkuu
Kama ana utajiri mkubwa huo ndo uchawi wakeMjomba angu alipataga ajali alipata kidonda mguuni! Kidonda kilihangaikiwa hicho watu wakachoka! Sasa mwaka wa 15 huu anakidonda...kipo hivyohivyo, hakina dalili yakupona! Na ukikiacha siku 3 tu haujakisafisha utakutana na funza km Mia hivi! Kina harufu mnoo! Pole Sana...fanyeni maombi mno!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulishafanya vipimo vyote sukari hana HIV hana, tulishauriwa kwenda ocean road kwa vipimo zaidi,,, anatakiwa kufanyiwa biopsy.Rudi tena hospital.. Lakini safari hii badili.. Kisha hakikisha unafanya vipimo sahihi na kupata tiba sahihi... Epuka hospital za uchochoroni na next time kumbuka kucheza salama... UKIMWI UPO NA UNAUA.. HOMA YA MANJANO IPO NA INAUA
Jr[emoji769]
Hiki kidonda mbona kinapona mkuu?Bado nahitaji mawazo yenu hali ndio ilivyo kwasasa. View attachment 1382945
Nipe namba yako pm kunaa mtu alikuwa na donda ndugu , alihangaika matibabu hadi nje ya nchi lakini hakupona.Kienyiji tumeshaenda tupigwa kama laki sita na nusu kidonda kipo pale pale,kwanza kwa waganga ndo kinatota kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwaze sana Kama hii ndiyo tiba kali sasa.
Hii pia niliisikia kwa hao wa kienyeji, mwingine alishauri uokote yale mapembe yaliypkaa muda yakapigwapigwa mvua yakaota hadi uoto fulani hivi.Dukani, Nenda machinjioni kachukue mapembe ya ng,ombe manne yachome hadi yawe majivu, then nunua asali mbichi saga yalainike the changanya na asali utakuwa unapaka kila asubuhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia address hii ishu, ikiwa anaishi kwa hofu ya kitu chochote, hofu yoyote ya kudumu hupunguza kupumzika kwa mwili ambacho huwa ni kigezo muhimu katika uponyaji.ndio Ila baba baba yake alishafariki, mama yake yupo Ila inasemekana ni mchawi japokuwa sitaki kuamini hilo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app