Dawa ya kikohozi ya asali

Dawa ya kikohozi ya asali

My Joash

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2020
Posts
270
Reaction score
214
Wandugu, salaam.

Naomba nisaidiwe jinsi ya kuchanganya dawa ya kikohozi ya asali na pia je ikiwa mtu anakunywa hizi dawa za hospitali akachanganya na hiyo ya asali yaweza leta shida?

Asanteni kwa ushauri.
 
LIMAU
Limau inaweza kutumika kwa namna nyingi katika kutibu kikohozi. Limau lina sifa za kuondoa maambukizi na pia limau lina vitamini muhimu ambayo hupigana na maambukizi na kukuongezea kinga ya mwili vitamini muhimu sana vitamini C.
Changanya vijiko vikubwa viwili vya maji maji ya limau na kijiko kikubwa kimoja cha asali mbichi na unywe mchanganyiko huu mara 2 kwa siku kwa siku kadhaa.
Asali na limao kwenye sukari kutibu kifua.jpg
 
Hizi elimu tutazitumia tu kadri umri unavyoenda. Naona matumizi ya malimao yamepungua sana tangu Corona isemekane kuwa imeisha Bongo.
 
Back
Top Bottom