Naomba nisaidiwe jinsi ya kuchanganya dawa ya kikohozi ya asali na pia je ikiwa mtu anakunywa hizi dawa za hospitali akachanganya na hiyo ya asali yaweza leta shida?
LIMAU
Limau inaweza kutumika kwa namna nyingi katika kutibu kikohozi. Limau lina sifa za kuondoa maambukizi na pia limau lina vitamini muhimu ambayo hupigana na maambukizi na kukuongezea kinga ya mwili vitamini muhimu sana vitamini C.
Changanya vijiko vikubwa viwili vya maji maji ya limau na kijiko kikubwa kimoja cha asali mbichi na unywe mchanganyiko huu mara 2 kwa siku kwa siku kadhaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.