Dawa ya kitambi hii hapa

Dawa ya kitambi hii hapa

Huwezi fanya hivyo ndugu yangu ila nitafute no 0768628266 nikushauri vizuri na kukupatia cha kutumia urudi hali yako ya kawaida
 
Ukizidi kujinyima kula unauwezekano mkubwa wa kupata ulcers pia ukisema kuingia road kukimbia utatunisha misuli tu na ulichonacho ni mafuta yaliyozidi mwilin na uliyatengeneza kwa muda mrefu so nitafute tupate ufumbuzi
 
Ndio maana panya road wanawakimbiza silesi mbili na soda imeisha siku.

hata kwa makobola ya nuclear siwezi.
Mkuu unaongea na pandikizi la mtu hapa, halafu liulize ni limtu la kanda gani na sasa linabofya kompyuta mpakato likiwa wapi! ukipata jibu usiniombe msamaha:smile-big::smile-big::smile-big:
 
solution kubwa ya kupunguza mwili ulikuwa mkuwa yan unene ni moja aun mbili kma za kuongezea lkn kuu ni moja ....njia hzo ni kufanya mazoez ya mwili mzima na si kwa sababu unataka kuondoa kitambi et ufanye mazoez ya kata tumbo utaumia au utajiumiza..kma upo ofisin basi jiweekee ratiba ya kufanya mazoezi kbla ya kwnda ofisin yan kma inatakiwa uondoke nyumbani saa moja basi ww amka saa 11 anza mazoez ya kukimbilia na mengne ya mwili hadi 12:30 den oga na elekea ofisin alikadhalika ukiludi nyumbani pia kma unaludi saa 2 basi fanya mazoez madgo ya hapohapo hom mf. kupiga push up,kuluka kamba n.k .........Na nyongeza na ni kama mtumiaji wa kilevi (pombe) basi unaweza acha na kma itakuwa ngumu zaid basi waweza punguza matumizi ukiambatan na mazoezi ya kila siku kwa pombe iwe kila wikiendi kma ulikuwa mtu wa kila siku na kma ulikuwa mtu wa kunywa wikiendi tuu HOPE unaweza kuacha kbsa kunywaa....ukifatilia kwa makin unene v/s kitambi run....
 
ninataka nisile chakula chochote siku nne bali ninywe maji tu nitafanikiwa?

kama group lako la damu ni "O" epuka mikate na ndizi mbivu.
ukifanya hivyo utaondoa kilo kadhaa bila hata kufanya zoezi. baada ya hapo
changanya na zoezi. utafurahi mwenyewe.
 
Wakuu habari ya humu, nina dawa ya kupunguza uzito na kitambi kwa wanaume na wanawake. Dawa hii inajulikana kama 'Catherine Slimming Tea' na inafanya kazi kwa muda wa siku 14 mpaka 16, na unaweza kupunguza kati ya kilo 4 mpaka 6 ndani ya muda huo. Dawa hii inafanya kazi kwa kutumbukiza tea bag kwenye kikombe cha chai chenye maji ya moto kisha kuacha jani hili ndani ya kikombe kwa kati ya dakika 10 mpaka 20 kisha unakunywa maji bila kuweka kitu kingine chochote (mfano sukari). Muda mzuri wa kunywa dawa hii unashauriwa ni wakati unajiandaa na kulala. Kwa kuwa dawa hii inafanya kazi ya kukamua mafuta/sumu mwilini, asubuhi itakufanya upate trips mbili tatu za toilet na ndio ufanyaji kazi wake. Huna haja ya kubadili chakula unachokula ila ukiweza fanya na mazoezi kidogo itasaidia ku speed up zoezi zima la upunguaji mwili. Kwa mwenye kuhitaji anicheki tuwasiliane, box moja lina tea bags 16 na inauzwa sh 35,000 tu.
 
Fanyeni mazoezi............mtakuja kunyweshwa mkojo wa mbweha.
 
Heshima kwenu wakuuu.

Miaka miwili iliyopita nilipatwa na kisukari (diabetes 2) kutokana na uzito mkubwa pamoja na kitambi.

Lakini nilifanikiwa kuondoa kisukari kwa mazoezi bila kutumia dawa na mpaka saizi na zaidi ya Mwaka kila nikipima sukari ni normal.

Lakini tatizo ni kwamba kitambi bado hakijatoka kabisa.

Naomba msaada wa namna ya kumaliza kitambi bila kutumia madawa.
 
kunywa maji ya moto kila siku asubuh na usiku kwana maj hayo yatasaidia kuyeyusha mafuta yaliko tumbn,,,
 
katika mlo wako kwenye sahani yako pakua mboga nyingi na kiwango kidogo cha wanga hapo utajisikia umeshiba ila utakua umepunguza wanga mwilini ambao ndo unasababisha unene. hii program sio ya wiki moja ni ya miezi hadi uone matokeo vile hutaki kutumia dawa
 
katika mlo wako kwenye sahani yako pakua mboga nyingi na kiwango kidogo cha wanga hapo utajisikia umeshiba ila utakua umepunguza wanga mwilini ambao ndo unasababisha unene. hii program sio ya wiki moja ni ya miezi hadi uone matokeo vile hutaki kutumia dawa

Asante sana
 
Kama Hujaoa Tafuta Mwanamke Mwenye Gubu na Ngebe. Bro One Week utakitafuta kitambi.
 
Kuna watu mna maneno....yaani nimecheka mpaka jamaa wakadhani nina undugu na fast jet... 🙂

Eti kopa na ununue gari bovu, au demu mwenye gubu...ha ha ha hahya
 
Hello friends in the world, I love you so much........To day I have good news for you.....SLIM & TRIM, We provide products that can make you loss Body weight and have Strong Health, Here are some of our products we have for Body Slimming and Trimming.....
1. SLIMMING CAPSULES.....This product has the following functions in your body which are; (A ). Accelerates Metabolism rate to increase the burning of the fat as fuel and the degradation of fat in the body..
(B ). Decreases the intake of calories by regulating food intake..
(C ). With it's natural floral formula it helps lose weight safety and steadily rebound and generation of wrinkles.
(D ). Duel roles in weight loss and beautification

2. CHITOSAN, Chitosan has the following functions in the body....which are; (A ). Reduces blood lipids; helps weight loss.
(B ). Reduces blood sugar.
(C ). Strengthens the functions of liver, prevents liver against damage of toxins
(D ). Promotes healing of gastric ulcer

3. PRO-SLIM TEA, Pro Slim Tea is found in form of tea, packed in a small Tea Bags, it has the following functions in the body such as; (A ). Accelerates metabolism and degradation of fat, (B ). Burns fat as fuel to reduce the lipids content of the body. (C ). Reduces absorption of dietary fat and helps lose weight.

4. CALCIUM, Calcium has the following functions; (A ). People who are unable to meet the calcium daily intake allowance from their diet.
(B ). People with calcium deficiency.
(C ). Females during pregnancy or lactation.
(D ). Postmenopausal females.
(E ). Seniors with insufficient daily intake of calcium
For more details and counseling call me through 0654158574/0765353056
 

Attachments

  • 1439657805170.jpg
    1439657805170.jpg
    52.6 KB · Views: 640
Back
Top Bottom