Dawa ya kitambi hii hapa




3.Achana na matumizi vinywaji vyenye sukari vya viwandani kama vile soda, pia epuka matumizi ya pombe hasa bia.

“Kitambi sio afya, ni dalili ya magonjwa, piga vita kitambi”[/QUOTE]

Hapo kwenye red ndiyo mchawi mkubwa kabisa, lakini WHO wanasema kunywa pombe in moderation kunaongeza siku za kuishi.
 
3.Achana na matumizi vinywaji vyenye sukari vya viwandani kama vile soda, pia epuka matumizi ya pombe hasa bia.

“Kitambi sio afya, ni dalili ya magonjwa, piga vita kitambi”

Hapo kwenye red ndiyo mchawi mkubwa kabisa, lakini WHO wanasema kunywa pombe in moderation kunaongeza siku za kuishi.[/QUOTE]
Swali la muhimu ni; je ni pombe ya aina gani?? Ama kwa hakika sio bia ambayo ina carbohydrates za kutosha, bali huwa wana recommend wine, a glass of wine per day. Sky Eclat
 
Hapo kwenye red ndiyo mchawi mkubwa kabisa, lakini WHO wanasema kunywa pombe in moderation kunaongeza siku za kuishi.
Swali la muhimu ni; je ni pombe ya aina gani?? Ama kwa hakika sio bia ambayo ina carbohydrates za kutosha, bali huwa wana recommend wine, a glass of wine per day. Sky Eclat[/QUOTE]
Na pia unaweza kuwa na alcohol free days in a week si ndiyo.
 
Dr. Wansegamila hili tatizo linapungua Dar tangu rais wa awamu ya tano aingie madarakani.
Hapana,vitambi ndio vinazidi.Njoo mitaani kwetu,wana vitambi vikubwa na kutembea kwa kuchuchumaa kama kangaroo.Mleta uzi utaeleweka kwa wachache wanaoelewa.Lakini wengi wetu tunadhani kitambi ndio utajiri na heshima.Sasa hivi hili ni janga duniani ,ndoa nyingi zina migogoro kisababishi kikiwa uzito mkubwa kupindukia kwa wanaume.
 
3. VERTICAL LEG CRUNCH
Kufanya zoezi hili, lala kwenye sakafu nyoosha miguu, halafu kunja magoti, weka viganja vya mikono chini ya kichwa. Fanya zoezi hili seti 1-3 kwa kurudia mara 12-16
4. LONG ARM CRUNCH
Kufanya zoezi hili, lala kwenye sakafu au mkeka halafu nyoosha mikono yako nyuma iwe karibu na masikio yako. Fanya zoezi hili seti 1-3 kwa kurudia mara 12-16.
Shukrani sana Dr. Wansegamila kwa hii thread
 
ni hatari kiafya kukurupuka kuanza mazoezi ya kuondoa kitambi .. ni vyema kwanza ukaanza na mazoezi ya kutembea umbali mrefu,kisha kukimbia kwa speed ndogo walau kwa mwezi 1 mfulurizo kisha ndio uanze sasa kukata tumbo.....
 
ni hatari kiafya kukurupuka kuanza mazoezi ya kuondoa kitambi .. ni vyema kwanza ukaanza na mazoezi ya kutembea umbali mrefu,kisha kukimbia kwa speed ndogo walau kwa mwezi 1 mfulurizo kisha ndio uanze sasa kukata tumbo.....
Hii sikua najua
 
Njooni tujadili mapungufu na tupange mikakati.

Vitambi ni mzigo; pressure ni yetu, kufunga viatu ni shida, kutembea ni shida, wembamba wanatunyanyasa, kitandani wazito, wengi tunavibamia, chakula tunaambiwa tule kidogo eti tunywe maji ya moto.

Kadhia zote zipo kwetu. Tushauriane jinsi ya kupambana nazo.
 
Wewe ni mgonjwa tena una kiribatumbo au unyafuzi. Kitambi gani hicho kinakufanya ushindwe kufunga viatu au kumtimizia mkeo kitandani?

Inaonekana huna mazoezi unakula hovyo hovyo tu. Mwenzio nina kitambi smart kabisa kiasi kwamba mwembamba huwezi kuniacha kwa lolote kwa sababu nina mazoezi ya kutosha.
 
Kitambi kitambi nilikua nakitamani sasa leo nimekipata ninaona kitambi nomaaa....

Shaurianeni..
 
Kuna siku kwenye guest za uchochoroni, mtoto kimbaumbau kama Evelyn Salt aliingia kingi kwa lim-baba lina kitambi cha kuburuta! Mtoto alilia tangu ameingizwa mpaka anatoka ni kilio tu mpaka kama pumzi inakata vile! Sasa hayo manyanyaso kitandani unayapataje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…