The_Emperor
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 871
- 125
mbona unakua na mawazo kama hiyo picha yako hapo juu!!wenzako wanatafuta kitambi we unataka kuondoa, weka kitambi uweke heshima bar mkuu, hata ukienda kumpiga mtu mzinga inakuwa rahisi mno ukiwa na kifriji aisee
mkuu mi nimepoteza kilo 6 ajili ya boxing... is fun exercise na uta drop hizo kgs haraka sana..
ongezea na push ups, set ups na punguza fizzy drinks & fast food ... good luck
mbona unakua na mawazo kama hiyo picha yako hapo juu!!
Mkuu nifuatilie moja ya threads zangu nitakazofungua wiki hii.
Kwa wale Wakaka na Wadada wote wanaopenda kupunguza uzito, say Kilo moja kwa siku, kuna njia rahisi saaaana. Hakuna cha mazoezi, wala diet wala mafuta ya kupaka wala sijui mikanda ya kubana wala nini . . . .
It is simple: Asali, Ndimu na Limao. Nitaelezea zaidi bado nafanya maandalizi ya hii tiba ya uhakika 100%.

Naunga mkono, mimi nafanya kick boxing, its funny and burn calories alot. Muhimu uwe na stamina ya kuaminika. Kwa kuaniza acha beer, all red meat punguza labda once a week na mikaango pia, top up with exercise utaona matokeo.