Dawa ya kitambi hii hapa

Dawa ya kitambi hii hapa

Nina offer ya clean 9.program ya siku 9 tu inayokufanya upungue kilo 2 had 8 kwa siku 9 kwa gharama ya laki 2 tu.ntafte 0715720276
 
Ndugu wanajamvi naomna msaada kwa yeyote anayejua namma ya kutoa kitambi ulri wangu bado mdogo na sikitaki pia kama kuamtu anajua dawa ya asili ya vidonda vya tumbo
 
punguza kula nyamachoma na bia,pia fanya mazoezi ya mwili,usipofanya hvyo kuna kisukari na presha mkuu
 
Mbona hueleweki unasumbuliwa na kitambi au vidonda vya tumbo
 
Ndugu wanajamvi naomna msaada kwa yeyote anayejua namma ya kutoa kitambi ulri wangu bado mdogo na sikitaki pia kama kuamtu anajua dawa ya asili ya vidonda vya tumbo
Pole mkuu, okay,

Kwa vidonda vya tumbo:

Kunywa maji ml 500 kila nusu saa kabla ya kula chakula cha asubuhi, mchana na jioni, kisha unahesabu masaa 2 baada ya kila mlo na unywe maji tena ml 500.

NINI HUSABABISHA VIDONDA VYA TUMBO?:

Unapokaribia kutaka kula chakula chochote, au ukiwaza kutaka kula au ukiuona tu msosi kwa macho, TUMBONI MWAKO HUZARISHWA KITU KINAITWA "haidrokloriki asidi" ambayo huuandaa na kuusaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ufanye kazi zake vizuri.

HAIDROKLORIKI ASIDI hii ni lazima ipunguzwe makali (must be neutralized) kabla hujaanza kula chakula.

INAPUNGUZWAJE MAKALI?:

Kwa kunywa maji nusu saa kabla ya kula chakula
. KAMA HAITAPUNGUZWA MAKALI, ASIDI HIYO HUENDA KUTOBOA KUTA ZA TUMBO na hatimaye taratibu baadaye hukusababishia VIDONDA VYA TUMBO.

Kwa upande wa kitambi:
Bonyeza hizi link 2 ukazisome zote vizuri:

a)http://maajabuyamaji.net/2012/11/08/uzito-na-unene-kupita-kiasi/#.UKEO87HR7Ic

b)http://maajabuyamaji.net/2012/10/01/mazoezi/

Kisha unipe feedback
 
Kutokupata choo ni mojawapo ya matatizo yanayowata watu wengi. Adhari zake ni kubwa, kwa kawaida ukila chakula kinapaswa kikae ndani ya tumbo lako kwa muda usiozidi masaa 6 kiwe kimesagwa na kutumika na mabaki yawe yametoka.

Kwa walaji wa nyama, inachukua muda kwani nyama inakaa ndani ya tumbo kwa muda wa masaa 12 hadi 24 ndipo itoke baada ya kusagwa na kutumika, uangalifu unahitajika hasa kutokula nyama ambayo haijapikwa na kuiva vizuri na kulainika.

Chakula kinapokaa tumboni kwa muda mrefu huanza kuoza kikiwa ndani ya tumbo lako na tumbo hudhani ni chakula kingine kimeingia tumboni, hivyo tumbo huanza kuvyonza chakula kilichooza na kuingiza mwilini mwako. Kitendo hicho hufanya maini na figo kufanya kazi ya ziada kuondoa sumu inayozalishwa tumboni kwako.

Madhara anayopata mtu ni utumbo mpana kupata vidonda, baadaye kansa ya utumbo. Harufu mbaya kutoka mdomoni hadi unashindwa kuongea na watu. Mwili kutoa harufu mbaya, jasho linalonuka sana, hata upulize pafumu haisaidii sana kupunguza harufu mbaya.

Mwili unavimba kama una kitambi, watu wanafikiri una afya nzuri au ni baunsa kumbe ni kinyesi kimejazana mwilini, licha ya ukubwa wa mwili lakini unakuwa hauna nguvu. Kama hali yako imefikia kiwango hiki waone watabibu mahospitalini watakusaidia.
 
vidonda vya tumbo+kukata weight? pole aisee. kamuone dr/take it cousiously
 
kunywa maji kunapunguza tu acidity ya hydrochloric acid
ila kama mtu una acid nyingi hata unywe maji vip haisaidii, mi ni muhanga wa kiungulia
tumia common sense ukitaka kunetrilize acid, weka base. aid+base=salt+water
kula majivu au magadi kuondoa acid
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1352943908.429314.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1352943908.429314.jpg
    3.2 KB · Views: 67
Pole mkuu, okay,

Kwa vidonda vya tumbo:

Kunywa maji ml 500 kila nusu saa kabla ya kula chakula cha asubuhi, mchana na jioni, kisha unahesabu masaa 2 baada ya kila mlo na unywe maji tena ml 500.

NINI HUSABABISHA VIDONDA VYA TUMBO?:

Unapokaribia kutaka kula chakula chochote, au ukiwaza kutaka kula au ukiuona tu msosi kwa macho, TUMBONI MWAKO HUZARISHWA KITU KINAITWA "haidrokloriki asidi" ambayo huuandaa na kuusaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ufanye kazi zake vizuri.

HAIDROKLORIKI ASIDI hii ni lazima ipunguzwe makali (must be neutralized) kabla hujaanza kula chakula.

INAPUNGUZWAJE MAKALI?:

Kwa kunywa maji nusu saa kabla ya kula chakula
. KAMA HAITAPUNGUZWA MAKALI, ASIDI HIYO HUENDA KUTOBOA KUTA ZA TUMBO na hatimaye taratibu baadaye hukusababishia VIDONDA VYA TUMBO.

Kwa upande wa kitambi:
Bonyeza hizi link 2 ukazisome zote vizuri:

a)http://maajabuyamaji.net/2012/11/08/uzito-na-unene-kupita-kiasi/#.UKEO87HR7Ic

b)http://maajabuyamaji.net/2012/10/01/mazoezi/

Kisha unipe feedback
Jamani, yeye anataka dawa ya kuponya vidonda vya tumbo, wewe unampa sababu inayosababisha vidonda vya tumbo.
 
Unaweza kutumia mafuta ya ubuyu ni dawa nzuri sana ya kutibu vidonda vya tumbo unakunywa vijiko viwili vya chakula asubuhi na jioni kwa muda wa siku ishirini na moja utakuwa umepona kabisa. Pia yanasaidia kupunguza kitambi
 
Back
Top Bottom