Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hueleweki unasumbuliwa na kitambi au vidonda vya tumbo
Pole mkuu, okay,Ndugu wanajamvi naomna msaada kwa yeyote anayejua namma ya kutoa kitambi ulri wangu bado mdogo na sikitaki pia kama kuamtu anajua dawa ya asili ya vidonda vya tumbo
Tumia masaa mengi katika siku ukiwa umekaa na unakula chakula chako kwa kipimo hichohicho unachokula sasa.wakuuu m2pe na dawa ya kuwa na kitambi manake ninahamu na kitambi nikipata nitafurai sana
wakuuu m2pe na dawa ya kuwa na kitambi manake ninahamu na kitambi nikipata nitafurai sana
Kuna watu wanadhani kuwa na kitambi ni ishara ya kuwa na afya nzuri na kama alama ya utajiri!!!!!!!, Nashindwa kuelewa kabisa watu wanawaza nini vichwani mwao.usiombe jamaa yangu
Jamani, yeye anataka dawa ya kuponya vidonda vya tumbo, wewe unampa sababu inayosababisha vidonda vya tumbo.Pole mkuu, okay,
Kwa vidonda vya tumbo:
Kunywa maji ml 500 kila nusu saa kabla ya kula chakula cha asubuhi, mchana na jioni, kisha unahesabu masaa 2 baada ya kila mlo na unywe maji tena ml 500.
NINI HUSABABISHA VIDONDA VYA TUMBO?:
Unapokaribia kutaka kula chakula chochote, au ukiwaza kutaka kula au ukiuona tu msosi kwa macho, TUMBONI MWAKO HUZARISHWA KITU KINAITWA "haidrokloriki asidi" ambayo huuandaa na kuusaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ufanye kazi zake vizuri.
HAIDROKLORIKI ASIDI hii ni lazima ipunguzwe makali (must be neutralized) kabla hujaanza kula chakula.
INAPUNGUZWAJE MAKALI?:
Kwa kunywa maji nusu saa kabla ya kula chakula. KAMA HAITAPUNGUZWA MAKALI, ASIDI HIYO HUENDA KUTOBOA KUTA ZA TUMBO na hatimaye taratibu baadaye hukusababishia VIDONDA VYA TUMBO.
Kwa upande wa kitambi:
Bonyeza hizi link 2 ukazisome zote vizuri:
a)http://maajabuyamaji.net/2012/11/08/uzito-na-unene-kupita-kiasi/#.UKEO87HR7Ic
b)http://maajabuyamaji.net/2012/10/01/mazoezi/
Kisha unipe feedback
Jamani, yeye anataka dawa ya kuponya vidonda vya tumbo, wewe unampa sababu inayosababisha vidonda vya tumbo.