F Frekim JF-Expert Member Joined Mar 29, 2013 Posts 321 Reaction score 55 May 17, 2013 #1 wakuu naombeni msaada wa dawa ya kiungulia ambacho kinamsumbua sana bibi yangu,,, natanguliza shukurani...
wakuu naombeni msaada wa dawa ya kiungulia ambacho kinamsumbua sana bibi yangu,,, natanguliza shukurani...
yutong JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 1,601 Reaction score 338 May 17, 2013 #2 Dawa ya kiungulia zipo nyingi ikiwepo majivu. lakini pia namshauri aende hospitali atapewa tiba mi nilikuwa na tatizo hilo nilienda regent nikapewa tiba sasa hamna tena. Ila pia unaweza kutumia Andrews, MUCOGEL inapatikana JD Famacy
Dawa ya kiungulia zipo nyingi ikiwepo majivu. lakini pia namshauri aende hospitali atapewa tiba mi nilikuwa na tatizo hilo nilienda regent nikapewa tiba sasa hamna tena. Ila pia unaweza kutumia Andrews, MUCOGEL inapatikana JD Famacy
Meljons JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 3,105 Reaction score 1,406 May 17, 2013 #3 Hizo za hospital mara nyingi zinazingua. Bora utafute za wamasai