dawa ya kiungulia

dawa ya kiungulia

Frekim

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
321
Reaction score
55
wakuu naombeni msaada wa dawa ya kiungulia ambacho kinamsumbua sana bibi yangu,,, natanguliza shukurani...
 
Dawa ya kiungulia zipo nyingi ikiwepo majivu. lakini pia namshauri aende hospitali atapewa tiba mi nilikuwa na tatizo hilo nilienda regent nikapewa tiba sasa hamna tena. Ila pia unaweza kutumia Andrews, MUCOGEL inapatikana JD Famacy
 
Hizo za hospital mara nyingi zinazingua. Bora utafute za wamasai
 
Back
Top Bottom