Dawa ya kiungulia

Dawa ni mate yako mwenyewe meza mate sana, ili ufanikiwe kula karanga za kukaanga zenye chumvi au nunua sugar free gum hii ni bubble gum ambayo haina sukari supermarket utapata
 
Dawa ya kiungulia ni nini maana nahisi roho inaruka??

Dawa simple na effective ni majivu
Kama una access na majivu ya mkaa au kuni lamba kidogo uone maajabu in seconds.
Kwa kifupi, kiungulia ni acid na majivu ni alkaline hivyo yana neutralize hiyo acid.
 
Dawa simple na effective ni majivu
Kama una access na majivu ya mkaa au kuni lamba kidogo uone maajabu in seconds.
Kwa kifupi, kiungulia ni acid na majivu ni alkaline hivyo yana neutralize hiyo acid.

Tu as raison
 
Thanks wadau kwakusaidia kuokoa maisha ya mtanzania mwenzenu na tushirikiane kutokomeza mafisadi huu pia ni ugonjwa wa Taifa letu jumaa pili njema.
 
Thanks wadau kwakusaidia kuokoa maisha ya mtanzania mwenzenu na tushirikiane kutokomeza mafisadi huu pia ni ugonjwa wa Taifa letu jumaa pili njema.

Mafisadi tutawakomesha..

tukutane oktoberrrrrrr
 
Dawa ya kiungulia ni nini maana nahisi roho inaruka??


USICHOKIJUWA KUHUSU MARADHI YA KIUNGULIA







Kiingulia ni acidity iliyozidi kufuatia kula kitu chenye acidity. Maharage yakilala yana ferment hivyo kutengeneza more acidity state hivyo ukiyala vimengenyo vya pelipeptaid, peptaid na pepton vyenye kazi ya kuyeyusha wanga vinatoa acid nyingi ukichanganya na ile ya maharage matokeo yake ni kiungulia.

Dawa ya kiungulia ni kunywa alcalinine yoyote au base ili kuineutralize ile acid na kutengeneza chumvi na maji hivyo kutokuwa na madhara tena.

Dawa ya kawaida sana ni vidonge vya magnesium tricilicate au actal. Majivu yakichanganyika na maji yanatengeneza alcaline solution ambayo pia inaneutralize ile acid. Tatizo la majivu hakuna kipimo sahihi ukizidisha, hata ile acid ya kawaida ya kusaga chakula inakuwa neutralized hivyo chakula kinashuka kilivyo.

Usipotafuta suluhisho la kudumu kuicontrol hiyo acid tumboni kwako, inaweza kumungunya mpaka ngozi laini ta tumboni hivyo kusababisha vidonda vya tumbo vinaitwa ulcers.

DAWA YA KUTIBU KIUNGULIA KWA TIBA MBADALA:

KIUNGULIA::

TIBA;:

Changanya glasi moja (250ml) ya maziwa na kijiko kikubwa 10ml) cha mafuta ya habat soda.Kunywa mchanganyiko huu na urudie kutwa mara tatu (1×3) kwa muda wa siku 5. tumia kisha uje unipe feedback



Ukiwa na Swali au shida yoyote usikose kunitafuta kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…