Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa ya kiungulia ni nini maana nahisi roho inaruka??
Dawa simple na effective ni majivu
Kama una access na majivu ya mkaa au kuni lamba kidogo uone maajabu in seconds.
Kwa kifupi, kiungulia ni acid na majivu ni alkaline hivyo yana neutralize hiyo acid.
Thanks wadau kwakusaidia kuokoa maisha ya mtanzania mwenzenu na tushirikiane kutokomeza mafisadi huu pia ni ugonjwa wa Taifa letu jumaa pili njema.
Dawa ya kiungulia ni nini maana nahisi roho inaruka??
Bei mkuuView attachment 267739
Dawa iyo hapo ya kuondoa Acid tumboni, nipigie 0719 252523