Dawa ya kuacha sigara

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
#FAHAMU Ibrahim Yücel raia wa Uturuki aliamua kuvaa kofia maalumu kwa ajili ya kujizuia na uvutaji wa sigara baada ya kushindwa kuacha uvutaji.

Kofia hiyo alifunga kwa funguo maalumu na kumkabidhi mtu mmoja ambaye alikuwa akimfungulia muda wa kula chakula tu.

Mwanaume huyo alisema kuwa alianza kuvuta pakiti mbili za sigara akiwa na miaka 16 tu na alipofika miaka 42 aliamua kuchukua uamuzi huo #EastAfricaTV.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…