Dawa ya kuepuka kupigwa Ban hapa JF, hii hapa

Asante๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Siii hasaa inayashikilia maisha yako bongo je unajua hujui?
Maisha yangu yanashikiliwa na Yesu.
Zab 91:2-6
"BWANA ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini. Maana Yeye ataniokoa na mtego wa mwindaji, Na katika tauni iharibuyo. Kwa manyoya yake atanifunika, Chini ya mbawa zake napata kimbilio; Uaminifu wake ni ngao na kigao. Sitaogopa hofu ya usiku, Wala mshale urukao mchana, Wala tauni ipitayo gizani, Wala uele uharibuo adhuhuri."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ