Dawa ya kufoce hedhi

suzy daniel

Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
57
Reaction score
10
Habar zenu, nina mwezi sasa tangu n0iache kutumia njia za uzazi wa mpango nimetumia kwa muda wa miezi 6 cha kushangaza sijaona siku zangu tangu nilipokuwa niktumia hadi leo ambapo nimemaliza mwezi toka niachane nazo kwa anaejua anaejua dawa ansadie ili niwezekuona siku zangu
 
Sasa wakati unaziuza siku zako, ulitegemea nani aje akununulie?

Afu kufoce brid ndio nini?

Anyway, huwa inachukua mwezi hadi miezi kadhaa hedhi kurudi katika mfumo wake wa kawaida, mwezi 1? 2? 3? 4?, kila mtu kivyake. Sasa kama una wasi wasi, rudi kwa waliokushauri kutumia njia husika ya uzazi wa mpango kwa maelezo zaidi.

Huwezi 'kufoce brid', labda ujipige kichenga inside V, vinginevyo, uache mwili urudi katika hali yake ya kawaida baada ya kuu-disturb na hormone atifisho.
 

suzy daniel pole sana badala ya kutafuta dawa za kulazimisha upate hedhi yako,labda ungejua kwanini imepotea hapana shaka jibu unajua ni hizo njia za kisasa za uzazi wa mpango.

......kawaida dawa hizo huwa zinaenda kuathiri mfumo wa utendaji kazi wa kizazi nikimaanisha kwenye layer ya ndani ya mfuko wa uzazi au kwenye ovaries pamoja na shingo ya kizazi na sehemu zingine,kwa maana hiyo itachukua muda kurudia hali yako baada ya nguvu ya dawa hizo iliyoko mwilini mwako kupungua.

.......kwa hivyo kwa ufahamu wangu hakuna dawa ya kukufanya urudishe hedhi iliyotokana na dawa za uzazi wa mpango tofauti na kuacha kuzitumia na kusubiri system ya mwili kurecover yenyewe.Usihofu kwa vile umetumia muda mfupi tu hapana shaka utarejea kwenye hali yako ya asili ya kupata siku zako.
 

Lol,nimecheka sina mbavu jamani, inaelekea mrembo alitumia njia ya sindano sasa "brid" imekwama, ajipe muda kwanza kabla hajatafuta hizo mbinu za kufoce brid inaweza kuwa mwili haukupana na uzazi wa mpango alioutumia, asi foce brid kwa njia mbadala.
 
Yaani, ukute alijinywea tu bila hata ushauri. Kumwuliza mama anaogopa, sasa anataka afoci brid? How?

Lol,nimecheka sina mbavu jamani, inaelekea mrembo alitumia njia ya sindano sasa "brid" imekwama, ajipe muda kwanza kabla hajatafuta hizo mbinu za kufoce brid inaweza kuwa mwili haukupana na uzazi wa mpango alioutumia, asi foce brid kwa njia mbadala.
 
ushaur mzur nitauzngatia but ilimwil urudie har yake ya kupata mzunguko wake kawaida maxmum inaweza chukuwa mdagan? Kuna wa2 wananambia hta mwaka nisaidien kwan nina waswas xna
 
Dah pole sana me mwenzio haya makitu yalishanishinda kabisa kwanza nikisoma side effects zake hmm sitaki ata kuziona iwe sindano....iwe dawa iwe kitanz zote ni hatari na kansa nje nje kua makini na kalenda tu umejirisk sana kwakweli
 
ushaur mzur nitauzngatia but ilimwil urudie har yake ya kupata mzunguko wake kawaida maxmum inaweza chukuwa mdagan? Kuna wa2 wananambia hta mwaka nisaidien kwan nina waswas xna

Usijaribu ku force..dawa ni kuacha kutumia hizo pills na baada ya muda fulani mwili wenyewe utarudi kwenye hali ya kawaida ya kupata hedhi...au unamaanisha umekwama sasa unataka kuichoropoa?
 

Pole sana!! Umeolewa? Nakushauri kama hujaolewa acha kabisa kutumia dawa za kuzuia uzazi, nyingine zina madhara zinaua mayai ya uzazi kabisa na utakuwa hupati hedhi. Pia sumu yake huwa ni kubwa na unaweza kuwa tasa pia. Wanashauri utumie nyota ya kijani baada ya kuhakikisha kuwa umeshazaa watoto wako uliojipangia. Madhara ya hii kitu ni makubwa kuliko faida, kwa mtizamo wangu.
 
ushaur mzur nitauzngatia but ilimwil urudie har yake ya kupata mzunguko wake kawaida maxmum inaweza chukuwa mdagan? Kuna wa2 wananambia hta mwaka nisaidien kwan nina waswas xna

Ikikukolea sana hasa vipandikizi unakaa hata miaka kumi na zaidi sumu haiishi mwilini!!! Wengine kama una hela unaenda nje ya nchi kusafiasha sumu katika damu!!! Achana na haya makitu. Natural ways ni mpango mzima ila inahitaji uvumilivu kwa wanaume. Na siku hatari si mtumie condom tu!! Ulafi utatumaliza.
 

DAWA ZA KUTEREMSHA HEDHI.


Ikiwa hedhi imezuilika kwa kufikia umri wa kumaliza au ni kwasababu ya mimba, inafahamika lakini ikiwa si kwasababu mbili hizo basi hufanyiwa dawa na kuirudisha hedhi.

1. Kunywa chai ya mdalasini.

2. Mvuje ukinywewa pamoja na pilipilimanga huteremsha hedhi iliyo fungwa katika uzai au mapito yake.

3. Manemane ikipondwa na ukinywa siku tatu asubuhi kabla ya kula chakula

4. Thoum na maganda yake huteremsha hedhi

5. Kunywa maji yaliyochemsha na zaatari.

Tumia Dawa mojawapo kati ya Dawa hizo hapo juu kisha uje unipe Feedback.
 
hyo chai inawekwa mdarasin tu bila majan ya chai nifafanulie kdogo, na hvyo v2 vngne vnapatkana wap maana cvfaham kabsa. Nisaidie ndg plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…