petro matei
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 803
- 937
Dawa talakaJamani mwanamke wangu ananisumbua. Full usumbufu mpaka shughuli zangu haziendi vzuri kabisa. Naombeni msaada wa mambo ya kienyeji ya kumtuliza na awe submissive kwangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa talakaJamani mwanamke wangu ananisumbua. Full usumbufu mpaka shughuli zangu haziendi vzuri kabisa. Naombeni msaada wa mambo ya kienyeji ya kumtuliza na awe submissive kwangu.
Tupa kuleeeMwanamke kwa vile ni mzuri basi akitongozwa huko nje nyumbani full dharau. Full kukutoa kasoro na kuomba kuachana. Yani amani ya nyumbani sio guaranteed. Leo hii mnaweza kuwa na amani na baada ya hapo amani imekwisha.
Jamani mwanamke wangu ananisumbua. Full usumbufu mpaka shughuli zangu haziendi vzuri kabisa. Naombeni msaada wa mambo ya kienyeji ya kumtuliza na awe submissive kwangu.