Masikini mjanja
JF-Expert Member
- Oct 13, 2017
- 232
- 379
Thanks mkuuVomidoxine anakula kimoja asubuhi kabla hajakula kitu half baada ya nusu saa ndio ale chakula mm sio dokta ila wife alikua akitapika zaidi ya Mara 100 kwa cku mpk alikonda ikawa anaekewa drip kila dawa nilikua haifai kwake tulivokuja kuipata huyo ilikua mujarab yani sikutegemea
Humu nazani kuna Mahouse boy pia make ndo akili zao hiziShahawa
Wakuu habari za mihangaiko? Hope mko poa.
Masaada wa dawa ya kuweza kutaka kichefuchefu kwa mama mjamzito.
Msaada pls
Ni makosa kutumia dawa kwa mazoeaVomidoxine anakula kimoja asubuhi kabla hajakula kitu half baada ya nusu saa ndio ale chakula mm sio dokta ila wife alikua akitapika zaidi ya Mara 100 kwa cku mpk alikonda ikawa anaekewa drip kila dawa nilikua haifai kwake tulivokuja kuipata huyo ilikua mujarab yani sikutegemea