Dawa ya kukata kichefuchefu kwa Mama mwenye Mimba

Masikini mjanja

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2017
Posts
232
Reaction score
379
Wakuu habari za mihangaiko? Hope mko poa.

Masaada wa dawa ya kuweza kutaka kichefuchefu kwa mama mjamzito.

Msaada pls
 
Mkuu hiyo ni kawaida tuu hasa kwa mimba Changa chini ya miezi mitano ila ikizidi unaweza tumia hizi.metochlopramide 10mg bid 5/7,or ondenstron inj 4mg kila baada ya masaa nne x3/7

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Vomidoxine anakula kimoja asubuhi kabla hajakula kitu half baada ya nusu saa ndio ale chakula mm sio dokta ila wife alikua akitapika zaidi ya Mara 100 kwa cku mpk alikonda ikawa anaekewa drip kila dawa nilikua haifai kwake tulivokuja kuipata huyo ilikua mujarab yani sikutegemea
 
Thanks mkuu
 
Wakuu habari za mihangaiko? Hope mko poa.

Masaada wa dawa ya kuweza kutaka kichefuchefu kwa mama mjamzito.

Msaada pls
IMG-20171009-WA0011.jpeg
 
Vomidoxine anakula kimoja asubuhi kabla hajakula kitu half baada ya nusu saa ndio ale chakula mm sio dokta ila wife alikua akitapika zaidi ya Mara 100 kwa cku mpk alikonda ikawa anaekewa drip kila dawa nilikua haifai kwake tulivokuja kuipata huyo ilikua mujarab yani sikutegemea
Ni makosa kutumia dawa kwa mazoea
 
Tafuna tangawizi,kula kidogokidogo ila mara nyingi,usipende vitu vyenye sukari.
 
Ndio umama wenyewe, avumilie itaisha....
Ikizidi aende hospital
 
Back
Top Bottom