Dawa ya kukojoa kitandani

Dawa ya kukojoa kitandani

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
11,261
Reaction score
17,202
Heshima kwenu wataalamu..Aisee nimekuja kwa jamaa yangu hapa ana mdogo wake binti yuko form three anajikojilea..je kuna dawa ya kumsaidia? Namuonea mpaka huruma..
 
Atumie promethazine na pia zuie vyakula vya maji pamoja na kutegeshea alarm ya usiku wa manane aamke
 
Heshima kwenu wataalamu..Aisee nimekuja kwa jamaa yangu hapa ana mdogo wake binti yuko form three anajikojilea..je kuna dawa ya kumsaidia? Namuonea mpaka huruma..
Mwambie aende pharmacy akanunue dawa inaitwa IMIPRAMINE vidonge 50-60 hivi kwa 5000/= awe anameza vidonge viwili tu kila akitaka kulala kwa muda wa mwez mmoja tu inshaallah mola atamsaidia tatzo litaisha.
 
Hili ni tatizo na kuna watu wazima na ndoa zao hili tatizo wanalo
 
Kumfunga vyura kiunoni

Ha ha haaaa
Umenikumbusha enzi hizo manzese uzuri kikojozi aliimbiwa wimbo wa kindumbwe ndumbwe na kutembezwa mitaani asubuhi mapema huku amelowana na kuvalishwa matambara. ilikuwa inasaidia kuna baadhi ya vikojozi waliacha kukojoa
 
Duhh, hii dawa ya zamani sana. Kuna waliofanikiwa na kuna ambao hawakufanikiwa. Nakumbuka kuna mdada alikuwa akifungwa chura lakini wapiii!


Usikute kumfunga vyura ndio walikuwa wanamburudisha ila inaonekana kesi za ukojozi zipo zaidi kwa kike
 
Back
Top Bottom