Dawa ya kumfanya mtoto kutembea

Dawa ya kumfanya mtoto kutembea

Habar zenu walezi wenzangu naomba mnisaidie dawa ya kienyej ya mtoto kutembea
Next time
Baada ya mkimaliza kufanya yenu kabla ya kunishikashika mtoto mkoge nyote Wewe na mkeo


Pia kabla ya kufanya Hakikisha mtoto amelala wima na wala msimtenge
 
Hakuna dawa ya kienyeji ya kuaminika, zote n za kufikirika2!! Cha msingi mpe mtoto chakula bora hasa hasa vyakula vya madini ya calcium ili mifupa iwe imara na wanga apate nguvu bila kusahau kumpa mazoezi ya kutembea na vitu baaasi!! Lazima atatembea tu
 
Hapana Jolie Kuna wale watoto wazito kutembea wale .. fanya hivo kama mara 3 nne hivi utaona improvement.. it works wanasema. nilisahau tena awe peku sema uangalie majani yasiwe na miba na vyuma



cc Smart911
Hiyo sijaisikiaga,ila ya kumchapa na chelewa na kumsugua na wale wadudu kwenye unyayo naifahamu sana
 
Back
Top Bottom