Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,827
- 1,655
Next timeHabar zenu walezi wenzangu naomba mnisaidie dawa ya kienyej ya mtoto kutembea
Unasemea wale weusi wakubwa(Songwa)?Kuna wadudu flani wanafanana na siafu,mikoa ya kanda ya ziwa ni wengi.Unachukua mdudu mmoja unamsugua mtoto kwenye unyayo na mtoto hakawii kutembea
Hiyo sijaisikiaga,ila ya kumchapa na chelewa na kumsugua na wale wadudu kwenye unyayo naifahamu sanaHapana Jolie Kuna wale watoto wazito kutembea wale .. fanya hivo kama mara 3 nne hivi utaona improvement.. it works wanasema. nilisahau tena awe peku sema uangalie majani yasiwe na miba na vyuma
cc Smart911
[emoji23] [emoji23] hii ipo,sio kumchapa kabisa yani unakua kama unamfagia unyayo
Exactly.Huku tunawaita sungusunguUnasemea wale weusi wakubwa(Songwa)?
Inaingia akiliniAna umri gani
Mzoeshe kutembea na vitu kama meza ukuta usizoe kumbeba sana. Wahenga wanasema kama umebeba mimba nyingine anaweza kuchelewa kutembea