Dawa ya kumsaidia mtoto aliyekunywa maji ya tumboni wakati wa akizaliwa

Dawa ya kumsaidia mtoto aliyekunywa maji ya tumboni wakati wa akizaliwa

Joined
Apr 28, 2015
Posts
26
Reaction score
4
Jaman naombeni msaada dawa ya kumsaidia mtoto aliyekunywa maji tumbon yanamsumbua sana jmn mwenye kujua anipe msaada.
 
Mpeleke hospital kubwa yakafyozwe ukimchelewesha kifua kitakuwa kinamsumbua
 
Mpeleke hosptal mapema mana nitatizo kubwa. Nduguyangu alipoteza mtoto masaa machache kwa uzembe wa madaktari. Fanya hima brother
 
Back
Top Bottom