Dawa ya kumtuliza mke mchepuko inahitajika

Dawa ya kumtuliza mke mchepuko inahitajika

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Najua wengi mnapambana na hii roho huoo kwenu

Kuna mdada khangu yaan kalijitunza kakaolewa

Kakazaa sasa kakachika kanagawa hatare mbaya kalishachika kakarudi hme wazazi wakiwemo

Kakabadili dini kakavutwa na kakazetu wenye ruksa wa4

Majuzi amerudishwa na mamboyetu talaka

Nahisi anapoelekea kuhamia dini za wahindi akawatest labda watamsaidia

Ugonjwa uleule kuchepujka

Huyu wa sasa kama hajui.Kabisa uvumilivu miezi 3 ashamalizana nae talaka

Yule wakwanza ni vikao toka wazazi wako hai mpaka wamekufa wote hangoki sijui yakamkuta nn akakimbia maxima

Najua upo uliotrseka na huu ugonjwa embu tupe dawa tu.Saidie kadada chetu
 
Hii ya kisononoo
 
Nimesikia jini mahaba anafanya mwanamke atowe papuchi bila ya mkopo sijui kweli
 
Back
Top Bottom