Ricardo Damiano
Senior Member
- Nov 4, 2011
- 103
- 80
Siyo macho tu mpaka nywele.kweli 2po tofauti, wa2 2naamka kila cku sa 11 asbh kwenda gym 2pate mwili simple we unautaka ubonge! anyway jaribu pita pita kariakoo kuna dawa za kichina, hapo utanenepa mpka macho!
Habarny wapendw wa jf minilikua na swal moja na ningehtaj msaada wenu.,kama nikitaka kunenepa nifanyeje maana mi ni mwembamba had daah.,na kuhusu kula na kula na dawa ya minyoo nime2mia sasa cjui nifanyeje ushaur kwa mlio madaktar wa ukweee.
Omba kazi serikalini au kaimbe tarabu