Dawa ya kunenepa ni ipi??

Dawa ya kunenepa ni ipi??

Ricardo Damiano

Senior Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
103
Reaction score
80
Habarny wapendw wa jf minilikua na swal moja na ningehtaj msaada wenu.,kama nikitaka kunenepa nifanyeje maana mi ni mwembamba had daah.,na kuhusu kula na kula na dawa ya minyoo nime2mia sasa cjui nifanyeje ushaur kwa mlio madaktar wa ukweee.
 
Kula vyakula vyenye protini na mafuta kwa wingi.
Mayai. . .milk products. . vitu asili ya karanga sijui na vitu gani vingine. Kuna siku nilimwangalizia vitu vinavyoweza kumsaidia ila nimevisahau na sikumbuki nilipoandika.Labda atapita hapa akugee maujanja.
 
Pia mshukuru Mungu kwa huo wembamba wako kwani kuna watu ni wanene na wanateseka sana na huo unene so take care wasijekukudanganya utumie haya madawa ya kichina
 
duh,aisee wewe utakuwa mwembamba mpaka basi!!
 
kweli 2po tofauti, wa2 2naamka kila cku sa 11 asbh kwenda gym 2pate mwili simple we unautaka ubonge! anyway jaribu pita pita kariakoo kuna dawa za kichina, hapo utanenepa mpka macho!
 
Matunda na mayai nilioambiwa hapo juu nakula kama dozi au continuosly
 
kweli 2po tofauti, wa2 2naamka kila cku sa 11 asbh kwenda gym 2pate mwili simple we unautaka ubonge! anyway jaribu pita pita kariakoo kuna dawa za kichina, hapo utanenepa mpka macho!
Siyo macho tu mpaka nywele.
 
Kula,hakikisha huna mawazo ya kukuletea mastress,Ila mind you that kama genes zako ni za kuwa kimbaombao,hutakaa unenepe.RIDHIKA NA ULIVYO,JIPENDE AS FAR AS AFYA YAKO IKO BYEENI
 
Habarny wapendw wa jf minilikua na swal moja na ningehtaj msaada wenu.,kama nikitaka kunenepa nifanyeje maana mi ni mwembamba had daah.,na kuhusu kula na kula na dawa ya minyoo nime2mia sasa cjui nifanyeje ushaur kwa mlio madaktar wa ukweee.

...Kama uwezo wako (mfuko) unakuruhusu basi kula kupita kiasi hata pale ambapo huna njaa kwa maana nyingine ujilazimishe kula, wala huna haja ya kula junk foods lakini hakikisha umeshiba 24/7 na baada ya mwezi utaona pounds zinaanza kuongezeka. Jaribu kula at least mara tano kwa siku badala ya mara tatu hata kama si portion kubwa sana.
 
Back
Top Bottom