Dawa ya kunenepesha makalio

Dawa ya kunenepesha makalio

Inaonekana wewe ni mtumiaji mzuri wa tigo, ila angalia yasije yakakuwa sana
 
Pamoja na effects zinazooneshwa bado tu kuna watu mnataka dawa..... Kweli makalio ndo habari ya mjini

si kweli kama ingekuwa ivyo tungekuwa kushaama mjini ika kwa kuwa waitaji wa team vimodo ni wengi mungu ni mwema. Kumbuka ukinyima makalio makubwa unapewa mguu wa bia etc
 
si kweli kama ingekuwa ivyo tungekuwa kushaama mjini ika kwa kuwa waitaji wa team vimodo ni wengi mungu ni mwema. Kumbuka ukinyima makalio makubwa unapewa mguu wa bia etc

Kuna wengine flat screen, hips negative mguu toothpick kama we unao haya
 
Jamani habari zenu!

Kichwa cha husika, anayejua dawa ya kunenepesha makalio anipatie na mseme na side effect zake.

Makalio ya kubust kwa dawa si nzuri, bt waweza fany vtu flan kuufany mwil wako ukagawanyika n ukawa sexy, zaid
 
Simple chukua maforonya weka vizuri watakuja wenyewe side effects hakuna advantage ni cost less
 
Jamani habari zenu!

Kichwa cha husika, anayejua dawa ya kunenepesha makalio anipatie na mseme na side effect zake.

Hakuna dawa za kukuza makalio bibie. Hizo zilizopo ni feki si zenyewe ndio maana watumiaji huwaga wanaharibika vibaya. Msiwe mapoyoyo, wachina wenyewe wanatengeneza lakini hawazitumii, embu jiulize kidogo kuhusu hapo, tafakari na chukua hatua stahiki.
 
Back
Top Bottom