Pamoja na effects zinazooneshwa bado tu kuna watu mnataka dawa..... Kweli makalio ndo habari ya mjini
si kweli kama ingekuwa ivyo tungekuwa kushaama mjini ika kwa kuwa waitaji wa team vimodo ni wengi mungu ni mwema. Kumbuka ukinyima makalio makubwa unapewa mguu wa bia etc
Jamani habari zenu!
Kichwa cha husika, anayejua dawa ya kunenepesha makalio anipatie na mseme na side effect zake.
tigo ndo nini best?Inaonekana wewe ni mtumiaji mzuri wa tigo, ila angalia yasije yakakuwa sana
ni vitu gani hivo naweza fanya nikaonekana kuwa na sexy body?Makalio ya kubust kwa dawa si nzuri, bt waweza fany vtu flan kuufany mwil wako ukagawanyika n ukawa sexy, zaid
Every woman is beautiful in her own way.God never makes mistake
ni vitu gani hivo naweza fanya nikaonekana kuwa na sexy body?
Jamani habari zenu!
Kichwa cha husika, anayejua dawa ya kunenepesha makalio anipatie na mseme na side effect zake.