wakaliwetu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2020
- 671
- 1,143
Nashukuru sana mkuu ila hawana pia kwa Dar nimezunguka maduka yote hakuna kabisaaJaribu Farmabase pale ilala
Samaahn unaweza kuniambia hii dawa ina sifa gani kwa mifugoNawasalimuni kwa jina la Mungu, naomba msaada kwa anaejua mahala naweza ipata dawa ya kuogeshea mifugo CYPERTOP E.C.
tafadhalini maana kwa Dar nimeitafuta haipatikani kabisa natanguliza shukrani kwenu nyote, mbarikiwe sana.
Ndungu kwakweli hii dawa hakuna mdudu anasimama hapo,kwakweli ni dawa inayo faa sana sasa sijui kwanini imepotea kabisa, wafugaji wengi sana tunaitafuta, mimi sasahivi nateswa na kupe kwenye Mbwa na Mbuzi vibaya sana, ila Mbuzi nimefanikiwa na TIK TIK.Samaahn unaweza kuniambia hii dawa ina sifa gani kwa mifugo
Nilichinja Ng’ombe wangu alikuwa anaumwa kupe wakasababisha Ndigana daktari aliniambia dawa unayotumia kuogesha Ng’ombe siyo nzuri