Dawa ya kuondoa cholesterol mwilini.

Dawa ya kuondoa cholesterol mwilini.

Naulizia dawa ya kuondoa cholesterol

mwilini.
Hakuna dawa zaidi ya kufanya mazoezi tu na kula kwa mpangilio vyakula visivyokua na mafuta mengi au visivyo na mafuta kabisa pia kuacha kula vyakula vinavyohifadhiwa kwenye makopo
 
dawa yake ni kutwa mara 2

asubuhi amka mapema fanya mazoezi angalau nusu saa- utoe jasho

jioni pia ukiweza fanya mazoezi angalau nusu saa - utoe jasho

dozi ni siku 21 utaanza kuona nafuu
 
Dawa nzuri ni pomegranate seeds. Unachemsha unakunywa kama chain. Ni bora kuiweka kama sehemu yako ya mlo itakusaidia sana.
 
Zingatia ushauri wa wadau wote waliokupa.

Pia unaweza kutumia dawa za kitaalamu kama Atorvastatin, Rusuvastatin, Simvastatin.

Kabla ya kutumia hizo dawa, muone kwanza daktari kwa maelezo zaidi
 
Back
Top Bottom