Ktimoto ndio kiboko ya majini wengi wabaya katika mwili wa binadamu ,imemsaidia sana binamu yangu ingawa alikuwa muislam lakini alikuwa hana namna maana baada ya kula hajapata tena shida hiyo na amekuwa mlaji kweli kwa sasa kwa sasa yupo sawa.Jaman wana jf ebu tusaidiane dawa ya kuondoa jini mahaba ipi kwa anaye juwa atujuze kama ipo dawa za asili.
Tuwasiliane In sha Allah tushauriane 0712770729Jaman wana jf ebu tusaidiane dawa ya kuondoa jini mahaba ipi kwa anaye juwa atujuze kama ipo dawa za asili.
USIJARIBU kwenda kwa mganga wa kienyeji utapata maroho ya ajabu huko na kuongezewa matatizo usiende tafadhari Yesu ni tiba ya tatizo hilo USIWEKE matuamini kwa mwanadamu maana hata hao hawaijui kesho yaoJaman wana jf ebu tusaidiane dawa ya kuondoa jini mahaba ipi kwa anaye juwa atujuze kama ipo dawa za asili.
Ktimoto ndio kiboko ya majini wengi wabaya katika mwili wa binadamu ,imemsaidia sana binamu yangu ingawa alikuwa muislam lakini alikuwa hana namna maana baada ya kula hajapata tena shida hiyo na amekuwa mlaji kweli kwa sasa kwa sasa yupo sawa.