Dawa ya kuondoa jini mahaba ipi

Dawa ya kuondoa jini mahaba ipi

ivunya

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
2,290
Reaction score
2,220
Jaman wana jf ebu tusaidiane dawa ya kuondoa jini mahaba ipi kwa anaye juwa atujuze kama ipo dawa za asili.
 
Ktimoto ndio kiboko ya majini wengi wabaya katika mwili wa binadamu ,imemsaidia sana binamu yangu ingawa alikuwa muislam lakini alikuwa hana namna maana baada ya kula hajapata tena shida hiyo na amekuwa mlaji kweli kwa sasa kwa sasa yupo sawa.
 
USIJARIBU kwenda kwa mganga wa kienyeji utapata maroho ya ajabu huko na kuongezewa matatizo usiende tafadhari Yesu ni tiba ya tatizo hilo USIWEKE matuamini kwa mwanadamu maana hata hao hawaijui kesho yao
 
Ktimoto ndio kiboko ya majini wengi wabaya katika mwili wa binadamu ,imemsaidia sana binamu yangu ingawa alikuwa muislam lakini alikuwa hana namna maana baada ya kula hajapata tena shida hiyo na amekuwa mlaji kweli kwa sasa kwa sasa yupo sawa.

haswaaa unashushia kitimoto huku ukisoma neno la Mungu aisee hilo jini halirudi tena
 
Dawa ni rahisi sana,deile lala na nguruwe huyo jini mahaba atapotea completely mkuu!!
 
Back
Top Bottom