Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
OG utaijuaje mpenzi?Bio oil ile OG,
ila matokeo ni pole pole sana kua na subira.
Unaweza kuchanganya na mafuta ya nazi au olive.
OG utaijuaje mpenzi?
Maana kila anayeuza anakwambia hii ni OG. Nimetumia sana bila matokeo chanya
Inatoa makovu ya kuungua na moto?Ni vema kuagiza nje hasa UK,
au kununua kwenye maduka makubwa ya dawa kwani hao kidogo kuna uhakika wa bidhaa zao.
Na bei ya Bio oil hua imechangamka haijapoa kama zile za wachaga....
Lol.
Lol...Ni vema kuagiza nje hasa UK,
au kununua kwenye maduka makubwa ya dawa kwani hao kidogo kuna uhakika wa bidhaa zao.
Na bei ya Bio oil hua imechangamka haijapoa kama zile za wachaga....
Lol.
Kwa maelezo yao wanasema inatoa pia.Inatoa makovu ya kuungua na moto?
Lol...
Basi mie nanunuaga ile wanauza 15,000/-Tsh. Kwa chupa ndogo. Nimepaka zaidi ya mwaka but makovu hayatoki.
Duuh....Sema Bio oil yapo ya aina tofauti tofauti ingia kwenye internet utaona yaan kila aina na kazi yake, unaweza ukanunua ya kutoa michirizi wewe ukawa una tarajia kutoa alama za makovu hapo ndio changamoto maana utatumia miaka kama yote bila matokeo kuuumbe aina tofauti na tatizo lako.