Dawa ya kuondoa makovu mwilini

Dawa ya kuondoa makovu mwilini

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Niaje wakuu...
Mwenye kufahamu dawa ya kuondoa makovu ya ngozi naomba anitajie hapa jina kamili la dawa.. Iwe ya kupaka, kuchua au kunywa So 900 itapendeza sana.
 
Bila shaka wewe ni ke, nitashangaa sana ukiwa me.
 
Bio oil ile OG,
ila matokeo ni pole pole sana kua na subira.

Unaweza kuchanganya na mafuta ya nazi au olive.
 
OG utaijuaje mpenzi?

Maana kila anayeuza anakwambia hii ni OG. Nimetumia sana bila matokeo chanya

Ni vema kuagiza nje hasa UK,
au kununua kwenye maduka makubwa ya dawa kwani hao kidogo kuna uhakika wa bidhaa zao.

Na bei ya Bio oil hua imechangamka haijapoa kama zile za wachaga....
Lol.
 
Inatoa makovu ya kuungua na moto?
 
Lol...

Basi mie nanunuaga ile wanauza 15,000/-Tsh. Kwa chupa ndogo. Nimepaka zaidi ya mwaka but makovu hayatoki.
 
Inatoa makovu ya kuungua na moto?
Kwa maelezo yao wanasema inatoa pia.

Sema Bio oil yapo ya aina tofauti tofauti ingia kwenye internet utaona yaan kila aina na kazi yake, unaweza ukanunua ya kutoa michirizi wewe ukawa una tarajia kutoa alama za makovu hapo ndio changamoto maana utatumia miaka kama yote bila matokeo kuuumbe aina tofauti na tatizo lako.
 
Lol...

Basi mie nanunuaga ile wanauza 15,000/-Tsh. Kwa chupa ndogo. Nimepaka zaidi ya mwaka but makovu hayatoki.

Sema Bio oil yapo ya aina tofauti tofauti ingia kwenye internet utaona yaan kila aina na kazi yake, unaweza ukanunua ya kutoa michirizi wewe ukawa una tarajia kutoa alama za makovu hapo ndio changamoto maana utatumia miaka kama yote bila matokeo kuuumbe aina tofauti na tatizo lako.
 
Sema Bio oil yapo ya aina tofauti tofauti ingia kwenye internet utaona yaan kila aina na kazi yake, unaweza ukanunua ya kutoa michirizi wewe ukawa una tarajia kutoa alama za makovu hapo ndio changamoto maana utatumia miaka kama yote bila matokeo kuuumbe aina tofauti na tatizo lako.
Duuh....

Uko wapi maa?
Maana nashawishika kuku contact kama unaweza ninunulia unitumie
 
Back
Top Bottom